Kuyeyuka kwa barafu kwa kiasi kikubwa ambacho hakijawai recodiwa katika nchi za Greenland na Antarctica .inasemekana kwamba ongezeko la kuyeyuka kwa barafuiyo imepelekea kuongezeka kwa sea level .ambapo ni mara mbili ya ongezeko la sea level ya miaka mitano iliyo pita